Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui...