Wakuu,
Siku ya jana akiwa anazungumza kwenye mdahalo ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Boniface Mwabukusi amedokeza kuwa yuko mbioni kufungua kesi dhidi ya vyama 14 vya upinzani nchini
Akiwa anazungumza mbele ya Chief Odemba wa Star TV, Mwabukusi alisema kuwa atafungua...