Wafanyabiashara wa Kata ya Majohe tunalalamikia vitendo vinavyofanywa na baadhi ya maafisa biashara wa kata hiyo, ambavyo tunaviona kuwa vya unyanyasaji na vinavyoathiri shughuli zetu za kibiashara.
Mfanyabiashara anaweza kuwa na leseni halali ya biashara aliyolipia, lakini afisa kutoka kata...