Nataka niende hukohuko labda tutaelewana vizuri, tokea jumatatu nilituma milioni 3 na laki 2 kwenda account ya bank mpaka Leo haijafika, niliwapigia jumanne wakaniambia kuna shida ya mtandao muamala upo hewani nisubiri ndani ya masaa72 hela itarudi kwenye tigopesa na kama isiporudi itaenda...