Kuna muda nakaa chini natafakari na kujiuliza why me yaani kila napokuwepo lazima kutatokea kitu ambacho kitanifanya nikose raha.
Kuna ofisi nipo nimejishikiza hapa mjini ila staff wenzangu wamenifanya mimi kama kituko wananidhihaki kwa kigezo cha utani yaani kila niwapo ofisini uanzisha mada...