Salaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu...