Aisee, ukipata mpenzi au mke au mume ambaye anawasiliana bado na maex tambua hakuna kitu hapo. Ana namba za maex wake wote, anachat nao akikuaminisha eti hakuna kinachoendelea. I swear tegemea mahusiano yenye maumivu sana, ndoa itakuwa haina amani. Heshimu wanaowapenda na kuwajali na kuwatunza...