Uongozi wa Yanga umethibitisha Kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah, hatakuwa sehemu ya kikosi chao msimu ujao 2024-2025. Nyota huyo alitua Young Africans Januari 2024 akitokea Bechem United ya Ghana na kuitumikia timu kwa kipindi cha miezi sita akifanikiwa kufunga bao moja tu...
Augustine Okrah na Simba wamefikia makubaliano ya kuachana mwishoni mwa msimu huu, imethibitishwa. 🚨🇬🇭
Okrah alisaini mkataba wa mwaka mmoja na Simba wenye kipengele cha kuongezwa zaidi.
Mambo hayakwenda sawa kama ilivyopangwa kwa hivyo pande zote mbili zimeamua kuachana.
Hivyo, msimu ujao...
Tuliaminishwa na wachambuzi kuwa Simba imelamba dume Kwa kusajili mchezaji wa timu ya taifa ya Ghana iliyokuwa inajiandaa na kombe la dunia na ikasemekana atajumuishwa kwenye kosi la Black Stars litakaloenda huko Qatar.
Sasa nawauliza wanathimba yupo wapi huyu mwamba atusaidie kuokoa jahazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.