Misimu kadhaa nyuma zinapokutana Simba na Yanga basi bila shaka Yanga anaenda kuwa underdog wa mchezo. Lakini sasa zama zimebadilika ni rasmi sasa Simba kawa underdog kuanzia msimu ulioisha. Makampuni ya makamaria wanaipa asilimia kubwa ushindi kwa Yanga vs Simba.
Na pia mechi ya leo ya Yanga...