Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amemkabidhi Mwanafunzi mwenye ulemavu wa miguu Kitimwendo alipotembelea Shule mpya ya Msingi Nguzosita iliyojengwa kwa gharama ya zaidi ya Shilingi Milioni 500.
Aidha, Mhe. Edward Ole Lekaita amechangia mifuko ya Saruji 100 kwaajili ya Ujenzi...