Combination ya Makonda na Sabaya kwenye serikali ya awamu wa tano ilikuwa ya kuotea mbali na shida za wananchi zilitatuliwa papo kwa papo field.
Sasa baada ya Makonda kurudi kama katibu mwenezi ameendelea kupiga kazi ya field bila msaidizi hivyo ndiyo maana wananchi wameanza kummis kijana...
Kwa maslahi ya haki za binadamu mwenyezi Mungu zuia harakati zozote za kumrejesha mtu huyu. Kama ni suala la Maisha basi MJAALIE NEEMA ZINGINE lakini sio za UONGOZI.
Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo....
Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba tunalisakata.
Pia soma: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya...
Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda.
Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu inahitaji marekebisho ambayo ni sehemu ya mshambuliaji, inamhitaji Lengai Ole Sabaya akasimame pale juu...
Mwanasiasa Lengai Ole Sabaya ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, amewaomba msamaha wote aliwakosea na kusema amewasamehe wale wote waliomkosea.
Amesema hayo katika Kanisa la Ebenezer Restoration Ministry For All Nations Jijini Arusha katika ibada ya shukrani, leo Jumapili Februari 4, 2024...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam.
Chanzo changu cha habari kutoka viunga vya Dodoma...
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
Usiyempenda kaja.
---
Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo.
Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
Nimesoma bandiko la mtu humu ndani akitoa wito kwa mfungwa Ole Sabaya akagombee Ubunge Jimbo la Hai.
Nimweka sawa mtoa wito na wengine wanaofikiria hivyo kwamba Sabaya hakuachiwa huru, hapana. Sabaya amekutwa na hatia na amehurumiwa kwenda jela mwaka mmoja isipokuwa ni kifungo cha nje!
Sheria...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la uhalifu leo Aprili 05, 2023 ameachiliwa huru.
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa baadae.
Chanzo: Jambo...
adhabu
bado
bila
huru
kesi
kesi ya sabaya
kifungo cha nje
kifungo cha nje cha mwaka mmoja
kuachiwa
kuachiwa huru
kukiri makosa
kulalamika
mahabusu
olesabaya
raia
sabaya
wapi
wengine
Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa.
Hii siyo kweli bwashee Lema.
Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa?
Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la...
Kila Siku tu unashauriwa na Watu 'Maalum' kuwa pale ukiwa unaenda Mahakamani ikitokea Umep;angua Kesi fulani basi 'Body Language' yako isiwe ni ya Kuonyesha kama Ujeuri na Ujivuni kwani ndilo ambalo linakugharimu ila kwa Upopoma (Upumbavu) wako na Kiburi chako unajifanya Gangwe.
Halafu acha...
Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
hukumu
huru
kesi
kesi ya sabaya
kushindwa
lengai olesabaya
malengo
mawakili
mawakili wa serikali
moshi
nyingine
olesabaya
ovu
sabaya
serikali
uchumi
uhujumu
uhujumu uchumi
KESI ya uhujumu uchumi na rushwa inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, itatajwa kwa mara ya pili leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi.
Ole Sabaya na wenzake, ambao ni Sylvester Nyegu, John Aweyo, Nathan Msuya na Antoro Assey...
Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi, Arusha.
kwa kile kilichodaiwa kuwa hakimu alikuwa anatimiza majukumu mengine ya kiofisi,mahali ambapo hatukutajiwa.
Leo asubuhi tunasikia taarifa ya Sabaya kuhamishiwa alfajiri,kutoka Gerezani Kisongo,na kupelekwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imepanga Mei 31, 2022 kutoa hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita.
Katika kesi hiyo washitakiwa wengine ni Enock Mnkeni, Watson Mwahomange, John Aweyo, Sylvester Nyegu, Jackson Macha na...
CCM tuna utaratibu wetu wa kumuombea mtu msamaha kisha mkosaji anaenda mbele ya kadamnasi na kutamka maneno machache tu, NI SAMEHE MIMI NIMEKOSA NISAMEHE MIMI NIMEKOSA.
Maneno haya huja baada ya kupitia tanuri la moto na viapo vingi sana mbele ya viongozi wakuu wa CCM. Tena utazungushwa sana...
Jana nilishtuka baada ya kumsikia aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo akidai kuwa kesi yake ya Uhujumu uchumi ni ya "Kutengeneza"
Nabaki najiuliza kumbe kuna kesi halisi na kesi za Kutengeneza?
Kwa wadhifa aliokuwa nao Ole Sabaya serikalini...