Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka.
Mkataba huo umesaniwa na Akram Azizi ambaye ni Director wa kampuni iliyoingia mkataba huo ya Kilombero North Safaris.
Marejeo na...
Gari ya Lissu tuliiona, na matundu ya risasi tuliyaona, vipi gari ya Mzee Ole Sendeka iliyoshambuliwa kwa mvua ya "mirisasi" mmeiona?
Naomba picha nilione na mie
Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
Hebu msome hapa halafu Tafakari
Hawa wazee hata tukiamua kuwasaidia kwa hali hii tunafanyaje ikiwa yeye mwenyewe anadhani ameshambuliwa na Majini?
---
Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida.
Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa!
Tundu...
Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro.
Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake.
Taarifa zaidi zitakujia baadae.
Hakuna alie salama..!!
---
Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la...
Kwa Bunge hili wamekuwepo wabunge wa CCM waliojaribu kuongea ukweli ktk Bunge lisilo na upinzani. Baadhi yao ni Mipina, Gwajima, Sendeka nk.
Mbunge Christopher Ole Sendeka haonekani Bungeni kwa muda sasa.
Yupo wapi?
Wabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii.
Tunatambua uwezo wa Kilango na Sendeka hasa rekodi mziweka kwenye Bunge la...
Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo kwamba etii Rais ndio anaidhinisha fedha kutoka.
Ktk Azimio Maalum la Kumpongeza Rais Samia kwa uongozi mzuri, kupitia Bunge la 12 mkutano wa 11 kikao cha Kwanza, Ole Sendeka awasha Moto.
Alianza kwa kumsifia Sana Rais Samia lakini mwishoni akaanza kwa kulaumu waliotajwa Ubadharifu Ripoti ya CAG kuenedelea ofisini hadi Sasa.
Kadai...
Mirerani. Mbunge wa Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema kutokuhadaa wafanyabiasha wa madini ya tanzanite wa kutwa soko la madini hayo litarudishwa jijini Arusha, akisema kiongozi huyo anadandia treni kwa mbele.
Lema...
Tundu Lissu amewakmba wenye mawasiliano na wabunge wa Ngorongoro na Ole Sendeka wawafikishie Salamu zake za Upendo na pongezi kwa namna walivyowatetea kisheria kabisa Wananchi wao.
Tundu Lissu amesema Wabunge hawa wawili Mungu wa mbinguni awabariki na kuwalinda kwa uzelendo uliotukuka.
Tundu...
Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba.
Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana.
Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya...
Baada ya kusikia upotoshwaji wa makusudi unaofanywa na ndugu zetu wanaoishi ndani na karibu ya maeneo ya Hifadhi zetu kuhimu adhimu kuwa wamasai ni wahifadhi kwa asili na hawafanyi ujangili.
Ilinibidi nijipe Homework kuthibitisha hili, nilichogundua ni uongo mtupu. Tafadhali fuatilia
1...
Mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka ametoa Ombi kwa waziri Mkuu alipokuwa mkoa wa Manyara kuzindua kituo cha Tanzanite Magufuli, kwanza ameomba ukaguzi wa Staha kwa watu wake bila kuathiri mapato ya Serikali mgodi wa Mirerani.
Pia ameomba kuongezwa chumba kimoja kwa ajili ya ugaguzi wa wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.