ole sendeka

Christopher Olonyokie Ole-Sendeka (born 1 January 1964) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Simanjiro constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Halmashauri ya Longido yaipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit kwa miaka 15

    Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram Azizi ambaye ni Director wa kampuni iliyoingia mkataba huo ya Kilombero North Safaris. Marejeo na...
  2. Yupo wapi comrade Christopher Ole Sendeka?

    Toka akoswe risasi Kawa kimya na Bunge linaendelea Dodoma. Yupo wapi huyu mzalendo
  3. Nani ameona picha ya Gari ya Ole Sendeka iliyochakazwa kwa risasi?

    Gari ya Lissu tuliiona, na matundu ya risasi tuliyaona, vipi gari ya Mzee Ole Sendeka iliyoshambuliwa kwa mvua ya "mirisasi" mmeiona? Naomba picha nilione na mie Pia soma > Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana
  4. Je, tukisema Ole Sendeka anamfahamu aliyemshambulia tutakuwa tunakosea?

    Hebu msome hapa halafu Tafakari Hawa wazee hata tukiamua kuwasaidia kwa hali hii tunafanyaje ikiwa yeye mwenyewe anadhani ameshambuliwa na Majini? --- Mbunge wa Simanjiro mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  5. Msifananishe Shambulio la Ole Sendeka na kupigwa risasi kwa Tundu Lissu

    Nimeona wengi wanajaribu kulifananisha Shambulio la Ole Sendeka na lile la Tundu lissu, haya matukio ni tofauti kabisa wengine wamedhulumiana ama pesa ama ardhi au ni wizi wa kawaida. Shambulio la Lissu lilikuwa spesho kwa ajili ya kuondoa uhai wake na lilikuwa haswaa Linahusu siasa! Tundu...
  6. Pre GE2025 Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka ashambuliwa kwa risasi na Watu wasiojulikana

    Inasemekana kuwa mbunge wa Simanjiro Mh. Christopher Ole Sendeka amepigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa Simanjiro. Amekimbizwa hospitali katika juhudi za kupambania maisha yake. Taarifa zaidi zitakujia baadae. Hakuna alie salama..!! --- Mbunge wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara...
  7. F

    CCM imuadhibu Ole Sendeka kwa kuvamia mashamba na kuharibu amani

    Katika hali ya kuishiwa na akili za uongozi, Ole Sendeka ameendelea kusababisha vurugu na kushawishi wananchi kuvamia mashamba ya wawekezaji halali. Baada ya vikao anavyodai vya siri na baadhi ya wanachi ,Jana tarehe 11/12/2023 na leo 12/12/2023 wananchi wa Naberera walienda kuvamia shamba la...
  8. F

    Yupo wapi Mbunge Christopher Ole Sendeka?

    Kwa Bunge hili wamekuwepo wabunge wa CCM waliojaribu kuongea ukweli ktk Bunge lisilo na upinzani. Baadhi yao ni Mipina, Gwajima, Sendeka nk. Mbunge Christopher Ole Sendeka haonekani Bungeni kwa muda sasa. Yupo wapi?
  9. S

    Anna Kilango, Ole Sendeka mmeonyesha njia msirudi nyuma

    Wabunge Anna Kilango na Christopher Ole Sendeka wamejipambanua dhahiri kwamba wataongoza wabunge kuishinikiza Serikali kuwachukulia hatua wote waliotajwa ripoti ya CAG ya mwaka 2021/2022 iliyowasilishwa bungeni wiki hii. Tunatambua uwezo wa Kilango na Sendeka hasa rekodi mziweka kwenye Bunge la...
  10. J

    Ole Sendeka amtetea bungeni Rais kutohusika na Ufisadi uliotajwa na CAG

    Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo kwamba etii Rais ndio anaidhinisha fedha kutoka.
  11. F

    Mbunge Ole Sendeka awasha Moto bungeni kuhusu ripoti ya CAG

    Ktk Azimio Maalum la Kumpongeza Rais Samia kwa uongozi mzuri, kupitia Bunge la 12 mkutano wa 11 kikao cha Kwanza, Ole Sendeka awasha Moto. Alianza kwa kumsifia Sana Rais Samia lakini mwishoni akaanza kwa kulaumu waliotajwa Ubadharifu Ripoti ya CAG kuenedelea ofisini hadi Sasa. Kadai...
  12. K

    Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

    Mirerani. Mbunge wa Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema kutokuhadaa wafanyabiasha wa madini ya tanzanite wa kutwa soko la madini hayo litarudishwa jijini Arusha, akisema kiongozi huyo anadandia treni kwa mbele. Lema...
  13. J

    Tundu Lissu awapongeza sana mbunge Ole Sendeka na Mbunge wa Ngorongoro, aiponda PhD ya Sheria ya Pindi Chana

    Tundu Lissu amewakmba wenye mawasiliano na wabunge wa Ngorongoro na Ole Sendeka wawafikishie Salamu zake za Upendo na pongezi kwa namna walivyowatetea kisheria kabisa Wananchi wao. Tundu Lissu amesema Wabunge hawa wawili Mungu wa mbinguni awabariki na kuwalinda kwa uzelendo uliotukuka. Tundu...
  14. J

    Ole Sendeka: Waziri Pindi Chana anataka Simanjiro, Ngorongoro na Longido kuwa Mapori ya akiba. Wamasai hatutakubali kamwe!

    Mbunge wa Simanjiro amesema nia ya Waziri Chana ni kuifuta jamii ya kimasai kwenye uso wa Arusha kwa kuzibadili wilaya nne kuwa pori la akiba. Ole Sendeka amesema one mvua like just hili halitawezekana. Spika Tulia ameingilia kati kutaka Ole Sendeka atoe ufafanuzi wa kisheria kuhusu mapori ya...
  15. Ole Sendeka, hawa ndugu zako wawili walioua faru uliwatuma?

    Baada ya kusikia upotoshwaji wa makusudi unaofanywa na ndugu zetu wanaoishi ndani na karibu ya maeneo ya Hifadhi zetu kuhimu adhimu kuwa wamasai ni wahifadhi kwa asili na hawafanyi ujangili. Ilinibidi nijipe Homework kuthibitisha hili, nilichogundua ni uongo mtupu. Tafadhali fuatilia 1...
  16. Ole Sendeka: Hali ya umaskini imeongezeka Mirerani, amuomba Waziri Mkuu biashara yote ya madini ya Tanzanite iishie Mirerani

    Mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka ametoa Ombi kwa waziri Mkuu alipokuwa mkoa wa Manyara kuzindua kituo cha Tanzanite Magufuli, kwanza ameomba ukaguzi wa Staha kwa watu wake bila kuathiri mapato ya Serikali mgodi wa Mirerani. Pia ameomba kuongezwa chumba kimoja kwa ajili ya ugaguzi wa wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…