Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya Ukraine.
Amefungwa kifaa mwilini ambacho kinaonesha mwelekeo wake popote alipo akifuatiliwa na Polisi...