olimpiki 2021

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Siasa za Olimpiki: Tunapeleka washiriki wangapi?

    Ndugu zetu Kenya wamepeleka wanamichezo 93 sisi hapa tunapeleka watalii wangapi Olimpiki Japan? Au ndo bado tunachakata majina kupitia kamati kuu ya Olimpiki?
  2. #COVID19 Japan: Wachezaji wawili wa Afrika Kusini wapatikana na maambukizi ndani ya Kijiji cha Olimpiki

    Wachezaji wawili wa Afrika Kusini ambao wapo nchini Japan kushiriki mashindano ya Olimpiki wamethibitishwa kuwa na maambukizi ya virusi vya corona siku ya Jumamosi, wakitajwa kuwa washiriki wa kwanza wa mashindano hayo kupata maambukizi ya virusi vya corona wakiwa ndani ya Kijiji cha Olimpiki...
  3. Mashindano ya Olimpiki: Tanzania kupeleka wanariadha 3 tu?

    Aiseee sijui kama tuko sawa au kuna shida sehemu. Nilisikitisjwa sana juzi kusikia kwamba Tanzania itapeleka wanariadha watatu pekee kule Tokyo Japan. Hii ni ajabu sana na sijajua tunakwama wapi sisi. Kadri miaka inavyo songa mbele ndivyo tunavyo kosa u seriouse, na tunavyo endelea huenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…