olimpiki 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Kenya wamezoa Medali 4 za Dhahabu Olympic na Sisi Tanzania bado tunajitafuta!

    Kiukweli nchi Jirani wametisha sana huwezi amini kama Wana mgogoro mkubwa wa kisiasa nchini mwao Kwako MwanaFA 😂😂😂 Mlale Unono
  2. Selemani Sele

    Mwanamke alia baada ya kupiganishwa na mwanaume olympics #Paris2024

    Leo katika olympics mwanamke Angela Carini amelia baada ya kupigwa K.O ndani ya sekunde 46 na mwanaume anayejitambulisha kama mwanamke Imene khelif. Pichani. Hata hivyo shirikisho la michezo la Algeria limekataa kama Imene ni mwanaume na kwamba sheria ya nchi hairuhusu Transgender Tangia 1966...
Back
Top Bottom