olimpiki paris 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mwanariadha Alphonce Simbu amaliza nafasi ya 17 Olimpiki Jijini Paris, Ufaransa

    Leo aubuhi nimefuatilia shindano la Olympic kule Paris la mbio ndefu ya kilomita 42 na mwanariadha Ndugu Simbu akiwa mshiriki toka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa kweli matokeo yake hayakuwa mazuri kwa kushika nambari 17 akitumia saa 2:10: 03 katika mbio hizo. Pole sana. Rudi nyumbani...
  2. Hivi kuna mantiki ya wanamichezo kuvaa vichupi kwenye Olympic

    Aiseh , UnaKuta wadada wamevaa vichupi, nusu sema full uchi . Sijui kwa mantinki ipi wakuu? Soma Pia: Olympic 2024 France: Maonesho ya Ufunguzi yashutumiwa kuonesha viashiria vya ushetani na upinga Kristo
  3. Kuna haja gani Wizara ya michezo kupeleka watu michezo ya kimataifa wakati hakuna maandalizi ya kutosha na mwisho kudhalilisha taifa letu kila wakati

    Ndugu zangu wanaJamiiForum Nakusalimuni huko huko mlipo. Nijikite kwenye hoja Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania. Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa taifa letu kwenye michezo ya Olympic hakuna hata msimu mmoja uliowai kuwa salama kwa taifa letu. Kila...
  4. N

    Waziri wa Michezo tunaomba Uwajibike kwa aibu hii iliyotokea kwa wachezaji wetu katika mashindano ya Olimpiki

    Tukiwa taifa mwenyeji wa mashindano yajayo ya AFCON nilitegemea maandalizi makubwa sana katika mashindano haya ya Olimpic niliona kwenye vyombo vya habari kwamba Waziri wetu wa michezo aliambatana na washiriki saba kutoka Tanzania kwenda huko ufaransa. Mpaka sasa hali sio nzuri, matokeo ni...
  5. S

    Mbio za baiskeli, Tanzania ingevuna medali nyingi sana kama serikali ingekuwa hai katika mchezo huu

    Nimefuatilia mbio za baiskeli katika mashindano ya Olimpinki yanayoendelea Ufaransa, nikagundua kuwa Watanzania wezetu wangeshiriki mchezo huu wote wangerudi na medali. Mfano ndugu zetu Wasukuma,kwa baiskeli wanakimbiza baiskeli hata huko Paris sijaona. Chama cha Baiskeli Tanzania mko wapi ...
  6. Mashindano ya Olimpiki Ufaransa 2024

    Habari wapenda michezo, Nimefuatilia michezo ya olimpiki France 2024, naona kuna michezo mingi sana. Najiuliza kwa nini Tanzania hatupeleki washiriki kwenye michezo kama kuruka juu na chini, kurusha mkuki, kurusha tufe, ambayo sioni kama inahitaji vipaji sana. Kuna mchezo wa kutembea tu Soma...
  7. Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris

    UPDATE: Tangu kuanza Kushiriki Olympics (1964), Tanzania ilipata Medali 2 tu za Fedha (Silver) kupitia Filbert Bayi na Suleiman Nyambui huko Moscow (1980). Leo Julai 29, 2024, Mcheza Judo Andrew Mlugu leo anatafuta Medali ya 3 akikabiliana na Joan-Benjamin Gaba (23) wa Ufaransa Mlugu (28)...
  8. Timu ya Tanzania Itakayoshiriki Michuano ya Olimpiki kuagwa na Kukabidhiwa Bendera leo

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa naMichezo Dkt. Suleiman Selela atakabidhi bendera na kuiaga timu ya Taifa itakayoshirikikatika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto inayoanzasiku ya Ijumaa Julai 26 hadi Jumapili Agosti 11, 2024 jijiniParis na miji mingine 16 nchini Ufaransa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…