Nichukue nafasi hii kumpongeza ndugu LIKUD kwa jitihada zake za kuziheshimisha shule za serikali ingawa sio kwa njia nzuri sana inayokubalika. Kuziinua St Kayumba kwa kuziponda EMs sio namna sahihi kwa sababu hata EMs ni za watanzania kwa ajili ya watanzania. Kwa pamoja EMs na Kayumba ziko kwa...