Aise Kama utani vile nakuwa faza kinoma. Siku Kama ya leo miaka 28 iliyopita mwamba, jemedari, shujaa, mchizi, msela, Askari, kamanda nilizaliwa hahaha aise Nina mbwe mbwe kinyama 😂😂
Shabiki nguli wa Chelsea na Mtiba Shugwa 🤣🤣🤣.
Napenda Sana utani na masikhara dah ..Ila ground nipo tofauti...