Kuna wimbo unaitwa olodumare wa Joel Lwaga umekuwa maarufu kanisani watu wakitaja olodumare bila kujua maana yake nini.
Katika nyakati hizi za hatari,nyimbo nyingi za hawa watu walioungwa na "spirits" zisizojulikana zina maneno yaliyofichwa "codes" ambayo unaweza kujikuta unayatamka kila wakati...
Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi.
Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.