olympics

  1. Waufukweni

    Afrika Kusini yaomba kuwa mwenyeji wa michuano ya Olympics mwaka 2036

    Nchi ya Afrika Kusini imeanzisha jitihada zake za kuomba kuwa mwenyeji wa Michezo ya Olympics ya mwaka 2036. Ikiwa ombi hilo litakubaliwa Afrika Kusini itakuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa mwenyeji wa mashindano ya Olympics. Kumbuka kuwa mwaka 2010 Afrika Kusini waliwahi kuandaa michuano...
  2. Damaso

    Ndoto ya Tanzania katika Michezo ya Olympic: Mpango wa Miaka mitano.

    Mwaka 1964 ndio ulikuwa mwanzo wa Tanzania kuanza kupeleka wanamichezo kwenye michezo ya Olympic na tumekuwa tukifanya hivyo kila wakati isipokuwa michezo ya Olympic ya mwaka 1976 huku pia tukiwa hatujawahi kushiriki kwenye ile michezo ya Olympic ya Winter. Katika michezo hii toka mwaka 1964...
  3. W

    Sanamu za washindi za Olympics Kenya ni aibu

    Mamlaka zimeondoa sanamu za wanariadha watatu wa Olimpiki kufuatia malalamiko ya wananchi kuwa ni dhihaka, 15 Agosti 2024. Sanamu hizo, ziliwakilisha wanariadha maarufu Faith Kipyegon na Eliud Kipchoge, walioshinda katika Mashindano ya Olympiki huko Ufaransa Mji wa Eldoret, unajulikana kama...
  4. SAYVILLE

    Maokoto ya wanamichezo wa nchi mbalimbali wanaoshinda medali za Olympics

    Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali? Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa...
  5. W

    Kenya wanyakua Medali ya Dhahabu katika Mbio za Mita 800 za Wanaume Olympics

    Emmanuel Wanyonyi (20) ameshinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 800 kwenye Olimpiki za Paris Agosti 10, 2024. Inadaiwa ndio Mshindi mwenye umri mdogo zaidi kushinda katika mbio za mita 800 akiwa mwanariadha wa tatu mwenye kasi zaidi duniani. Wanyonyi alikimbia kwa muda wa 1:41.19 na...
  6. W

    Thamani ya Medali za Olympics

    FAHAMU THAMANI YA MEDALI ZA MICHEZO YA OLYMPICS 2024 1. Medali ya Dhahabu Thamani: Tshs. Mil 2.56 Uzito: Gramu 529 2. Medali ya Chuma Thamani: Tshs. Mil 1.3 Uzito: Gramu 525 3.Medali ya Shaba Thamani: Tshs. 35,077 Uzito: Gramu 455 =====For English Audience====== The Olympics gold medal...
  7. W

    Tanzania Haijashinda Medali yoyote Olympics kwa takriban miaka 40. Shida iko wapi?

    Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha...
  8. Yoda

    Kenya wanatuwakilisha vizuri sana Africa Mashariki kwenye Olympics.

    Mpaka sasa Kenya wameshavuna medali nne za dhahabu katika michezo ya Olympics ya Paris na hivyo kutuwakilisha vizuri Jumuiya ya Africa Mashariki, hata hivyo tuwakanye wasituringie sana majirani zao kwani sote ni wamoja, mafanikio yao ni mafanikio yetu pia.
  9. greater than

    MSIMAMO WA MEDALI ZA OLYMPICS 2024 KWA NCHI ZA AFRIKA

    Michezo ya Olympic inaendelea,Washindi katika kila michezo wanazidi patikana... Angalia orodha ya nchi za Afrika zilizopata medali mpaka.... Kenya - Medali 6,Riadha Afrika Kusini - 5,Kuogelea+Mbio fupi+Rugby+Baiskeli Uganda - 2,Riadha Algeria- 2,Ndondi + Gymnastics Morocco- 2 , Mpira + kuruka...
  10. W

    Mwafrika wa Kwanza kushinda Medali ya Dhahabu Mbio za 200 kwa Wanaume Olympics 2024

    Letsile Tebogo (21) kutoka Botswana amekuwa Mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu mbio za mita 200 kwa wanaume kwenye Michezo ya Olimpiki Agosti 8, 2024. Amefanikiwa kuvunja rekodi ya Kenny Bednarek na Noah Tyles na kutajwa kama “Mwanaume mwenye kasi zaidi duniani” Alifanikiwa kushinda...
  11. BigBro

    Marekani Kombe lao la Dunia ni Olympics

    Hawa jamaa kila Olympics wanazoa medali balaa. Wamepeleka wanamichezo 600+. Hadi sasa wana medali 101. China ndo inawafuatia. Hakwenda kiongozi yoyote wa serikali zaidi ya makocha wa kila mchezo. Wanaoshinda medali wote wanalipwa wakirudi US, kwanini tusijifunze kwao?
  12. W

    Ashinda Medali 5 za Dhahabu Olympics kisha Astaafu

    Mwanamieleka wa Cuba, Mijaín López Núñez, amekuwa mwanariadha wa kwanza kushinda medali tano za dhahabu mfululizo katika Michezo ya Olimpiki. Baada ya kushinda kwa pointi 6-0 katika mieleka ya Greco-Roman huko Paris, aliondoa viatu vyake uwanjani kuashiria kustaafu kwake kutoka kwenye mchezo...
  13. Lady Whistledown

    Olympics 2024: Faith Kipyegon’s medal reinstated after dramatic 5,000m

    Faith Kipyegon's initial disqualification during in the Paris 2024 Olympics 5,000m race sparked uproar but Kenya successfully appealed In a dramatic turn of events at the Paris 2024 Olympics, Kenya’s appeal has been successful, and Faith Kipyegon’s silver medal position in the women’s 5,000...
  14. W

    Sababu ya Noah Lyles kushinda mbio za Mita 100 Olympics

    Mashindano ya Riadha za Mita 100 kwa upande wa Wanaume katika Michezo ya Olimpiki yameibua mjadala baada ya Noah Lyles kutangazwa Mshindi licha ya Wakimbiaji wengine kuonekana wamevuka Mstari Wachunguzi wa Kisayansi katika Michezo wamedai mguu wa Thompsor ulikuwa umevuka mstari kabla ya Noah...
  15. W

    Ni aibu kwa Makosa haya kujitokeza katika Michezo ya Olympics

    Julai 26, 2024: Bendera ya Olimpiki ilipandishwa ikiwa imegeuzwa, huku baadhi ya vituo vya televisheni vikionyesha bendera hiyo kwa mbali. Julai 27, 2024: Wanariadha wa Korea Kusini walitambulishwa kama raia wa Korea Kaskazini, na kupelea waandaaji kuomba radhi kwa lugha ya Kikorea kwenye...
  16. Selemani Sele

    Mwanamke alia baada ya kupiganishwa na mwanaume olympics #Paris2024

    Leo katika olympics mwanamke Angela Carini amelia baada ya kupigwa K.O ndani ya sekunde 46 na mwanaume anayejitambulisha kama mwanamke Imene khelif. Pichani. Hata hivyo shirikisho la michezo la Algeria limekataa kama Imene ni mwanaume na kwamba sheria ya nchi hairuhusu Transgender Tangia 1966...
  17. Heparin

    KWELI Picha hii iliyopigwa kwenye michuano ya Olympics nchini Ufaransa

    Nimekutana na picha hii mtandaoni inayodaiwa kupigwa Julai 30, 2024 kwenye michuano ya Olympics inayoendelea. Binafsi siamini, naona kama imetengenezwa. JamiiCheck tusaidieni kuihakiki.
  18. JanguKamaJangu

    Paris 2024 Olympics basketball: Opals suffer shock defeat to Nigeria in opener

    Timu ya Wanawake ya Kikapu ya Australia imepata matokeo ya kushtua baada ya kufungwa Vikapu 75-62 dhidi ya Nigeria kwenye Uwanja wa Pierre Mauroy Jijini Lille. Mchezo ujao wa Australia “The Opals” itacheza dhidi ya Ufaransa
  19. W

    Kulingana na Kipaji chako Ungeshinda Mchezo gani Olympics?

    Habarini wakuu, Huku Michezo ya Olympics Ikiendelea Jiji Paris- Ufaransa. Michezo mingi ya kizungu lakini sisi tunaona ya ajabu ajabu. Ila na sisi wangetuekea michezo yetu ile ya rede na kushindana kula tungepata sana washindi Unahisi wewe ungeekewa michezo gani ili ushinde? Kwa mfano mimi...
  20. Yoda

    China yashinda medali za kwanza Olympics.

    China imejinyakulia medali mbili za dhahabu za kwanza kabisa katika mchuano ya Olympics inayoendelea huko Ufaransa.
Back
Top Bottom