https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/askari-polisi-matatani-akidaiwa-kumvunja-mguu-mtuhumiwa-kituoni-4726664
Omari Mahita amvunja mguu mtuhumiwa na kumbambikia kesi ya wizi wa kutumia silaha
Baada ya kustaafu, mzee huyu kwasasa anaishi mkoani Morogoro. Moja ya madoido yake katika uzee wake ni kuchomoa hadharani silaha yake ya moto (bastola) kila anapokerwa na mtu.
Miongoni mwa matukio ya ajabu aliyofanya ni kupiga risasi lock iliyowekwa kwenye gari yake baada ya kupaki sehemu isiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.