omary kumbilamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Omary Kumbilamoto achukua fomu ya Udiwani kata ya Vingunguti

    Aliyekuwa diwani wa kata ya Vingunguti na Meya wa halmashauri ya jiji la Dar es salaam, Omary Kumbilamoto leo Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kwa ajili ya kugombea udiwani kata ya Vingunguti.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…