Kuna taarifa inasemekana mtoto mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 6 hadi 8 amefariki dunia baada ya umeme kukatika katika Hospitali moja iliyoko Wilaya ya Mkinga Mkoa wa Tanga wakati mtoto huyo akifanyiwa operesheni.
Mtoto huyo inasemekana alikuwa anafanyiwa upasuaji mdogo kwenye Pua...