Serikali ingelitazma ili la omba omba wanaziba misaada ya watu wengine (hivi mbona kuna vituo vya watoto yatima kwanini kusiwe na vituo vya walemavu na wazee ambao hawajiwezi labda ambao hawana ndugu kuliko kukaa mtaani wanadhurura na kuomba omba.
Halafu ombaomba ni mchongo kwa mijini maana...
Naona sehemu nyingi ombaomba wa Dar wamebuni mtindo wa kuwapatia kipato.
Mtindo huo ni kuunda kikundi cha watu watatu mpaka wanne na kuanza kuumba nyimbo za kikristo kwa lengo la kuwashawishi wapitanjia kusikiliza na kutoa chochote kwao.
Angalau hii imekaa powa kidogo, kwamba unapewa hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.