ommy dimpoz

  1. Kwahiyo ukaribu wa Mshindi Leonardo na Ommy Dimpoz, Injinia Hersi Said pamoja na GSM ndiyo Kigezo Kikuu cha Yeye Kushinda Tuzo leo Masaki?

    Nikiwa kama Mdau ninayejitegemea wa Uchekeshaji na Mtaalam pia Leonardo siyo Mchekeshaji bali ni Mbahatishaji tu!!!!
  2. Undisputed Truth: Pengine Ommy Dimpoz akawa ndo msanii anaemiliki mwanamke mrembo kuliko wote Tanzania

    Ugonile.. Mwaka Jana nilienda Zanzibar kwa ajili ya vacation na mchepuko wangu, wiki niliyofika ndo kulikua na maandalizi ya Tamasha la Mama Kizimkazi ambapo sehemu niliyofikia pia ilikua kwenye ratiba za Bi Tozo [Paje kwa Bibi yake na Zuchu] Villa niliyokua nimebook ndo apoapo walokuwa...
  3. Ommy Dimpoz: Dhambi zote za Rais Samia apewe Tundu Lissu

    Wakuu, Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, amezua utani wa aina yake leo Januari 7, 2025, wakati wa ufunguzi wa hoteli mpya katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar. Dimpoz, amesema itapendeza sana kama "dhambi zote za Rais Samia akipewa Tundu Lissu"
  4. Hivi ndivyo mastaa wa Bongo wanavyopiga hela nje ya muziki

    Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki: 1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
  5. Kikwete kuzindua albam mpya ya Ommy Dimpoz

    Msanii Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz ametangaza kuachia album yake leo Ijumaa Nov 4, 2022 ambapo katika kuizundua amesema Rais Mstaafu Jakaya Kikwete ataongoza shughuli hiyo "Tuna-launch rasmi album na itakuwa weekend ndefu kidogo kwa sababu tutaanzia hapa Johari Rotana, itakuwa invitees only...
  6. K

    Ommy Dimpoz naunga mkono msimamo wako, ila tupo wazazi tunaohukumiwa tofauti na makosa yetu

    Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae. Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu. Mwaka 2001 binti niliyekuwa na mahusiano naye aliniambia kuwa ana mimba, sikuikataa. Jirani a...
  7. Ommy Dimpoz amkana baba yake

    Ommy Dimpoz ameachia ujumbe baada ya baba yake kutengeneza headlines mitandaoni. Mwishoni mwa video ameeleza wazi baba yake hakumjali hivyo hana sababu ya kumfahamu kama baba ingawa anamheshimu. Full story ipo hapa:
  8. Kwa hili la Ommy Dimpoz na Babake wee uliye biological mother/father ukimkataa/kumtelekeza mtoto wako ujue umemuumiza sana kisaikolojia na makuzi yake

    Mwenyewe Ommy anmeweka wazi kwamba anamheshimu baba yake lakini hana ukaribu nae Ila wanaume buana, yaani alijua kabisa amezaa, kwa hiari yake akamtelekeza mtoto, ila sasa kafanikiwa anamuombea asaidie wengine👀👀👀👀 Sijui kama Ommy angekua maskini, teja, mgonjwa asiyejiweza, au mlemavu huyu...
  9. Ommy Dimpoz huwa ni msanii mkali

    Kuna nyimbo Kama ile kaitoa na Vanessa mdee me and you na Kuna nyingine Kama ile tukutane Tena baadae na Kuna ile Yuko na alikiba inaitwa nai nai nyingi nazikubali Ni nyimbo za ujana wangu Kuna kajiandae Yuko na alikiba.huyo ndo ommy Dimpoz.
  10. Ommy Dimpoz kapewa mualiko na NBA je anaushawishi kuliko wasanii wengine tunaowajua?

    Masanii wa muziki wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz amepata maualiko rasmi wa kuhudhuria michezo ya NBA All-Star ambayo itafanyika mjini Chicago Marekani kuanzia Februari 14 hadi 16 mwaka huu. Ommy Dimpoz anakuja ni miongoni mwa Mastaa watatu kutokea Afrika waliopewa mwaliko huo, hao wengine ni Sho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…