onalina senzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unajua kuwa watu wengi wanaishi maisha yasiyo yao kwa kunyang'anywa nyota na vibali vyao?

    Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli. Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…