onesmo olengurumwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Pre GE2025 Olengurumwa ataka mjadala wa Kitaifa kabla ya kugawa majimbo ya Kiuchaguzi

    Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ameiomba Time Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kufanya mjadala wa Kitaifa na wadau mbalimbali wa demokrasia juu ya mchakato wa ugawaji wa Majimbo ya Kiuchaguzi kabla ya mgawanyo huo kufanyika...
  2. Q

    Onesmo Olengurumwa: Rais bado anayo nafasi ya kukaa na CHADEMA kusitisha maandamano kwa amani.

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) Wakili Onesmo Olengurumwa akizungumza na televisheni ya mtandao ya Sauti Digital. "Sisi tulidhani na tulishauri sana kwamba serikali iwasikilize (CHADEMA), wawape ile fursa ya mazungumzo na bado tunaendelea kushauri...
  3. B

    Wakili Onesmo Olengurumwa ashinda kesi dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    29 July 2024 Mahakama ya Rufaa Tanzania Dar es Salaam, Tanzania Kesi ya Onesmo Olengurumo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=M89ro2AWtds Mahakama ya Rufaa Tanzania yatengua hukumu ya Mahakama Kuu katika kesi ya msingi iliyofungiliwa Mahakama Kuu kupinga ...
  4. Q

    Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema. Pamoja na serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu kupongezwa na wadau mbali mbali wa haki za binadamu katika maeneo mengi ikiwemo kutoa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni uhuru, sakata la...
  5. N

    THRDC: Sheria na sera zipitiwe kubaini kama makundi ya watu wenye uhitaji maalum hayaachwi nyuma kidigitali

    Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kuna umuhimu wa kutafakari kwa mapana kauli mbiu ya Siku ya Wanawake kwa mwaka 2023 isemayo “Ubunifu na mabadiliko ya teknolojia: Chachu kuleta usawa wa Kijinsia” ili katika utekelezaji...
  6. The Sheriff

    Olengurumwa: Huenda baadhi ya ripoti za tume na kamati zinazoudwa hushindwa kuwekwa wazi kwa sababu ya hofu

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za binadamu Nchini (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa ametoa maoni kuwa uenda baadhi ya ripoti za Tume na Kamati mbalimbali ambazo huundwa kuchunguza masuala mbalimbali ushindwa kuwekwa wazi kwa kuwa taarifa zinaweza kuwa zinawagusa wenye mamlaka...
Back
Top Bottom