Huo ni mchezo maarufu sana unaojulikana kama Chess. Ni mchezo ambao ukizoea kuucheza sana, utaitengeneza akili yako kuwa mtu wa mikakati zaidi kwa wakati wote.
Kuna mafunzo mengi sana unaweza kujifunza kwenye mchezo wa chess, mojawapo ikiwa ni 'sacrifice' and 'trade off'; ili ushinde mchezo...
ONGEZA MAFANIKIO: FAIDA TANO MUHIMU ZA KUANDIKA NAMBA 24 KWENYE KIGANJA CHA MKONO.
SEHEMU YA PILI.
👉Katika sehemu iliyo pita niliweka msingi wa awali ili kuweza kuelewa ni nini hiyo namba 24. Ule ulikua kama mwanzo tu na kuna baadhi ya watu walikurupuka kwenda kuchora namba 24 kwenye viganja*...
Kuna app inaitwa 'Voucher Master' inapatikana Google Play store. App hii inakuwezesha kuongeza salio kwenye simu yako kwa kuskani namba za vocha kwa kutumia kamera ya simu yako kisha kuongeza salio. Inauwezo wa kusoma vocha zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Pia inafanya kazi kwenye mitandao yote ya...
Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb
bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2
ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000.
Nipo kimara Dar es Salaam
0782780980
Ninaongea haya nikiwa najua mengi !!
Kwa sasa una maadui wawili
1. Ndani ya chama ambao mr Slaa alisema wamo na wanaua
2. Ndani ya Serikali watakaotumia nafasi ya nayotokea kutimiza adhma yao
Britanicca
Kama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk
1. Kushambuliwa kwa Lissu: Kimya mpaka sasa mwanzo Lissu akiwa Ubelgiji walisema hatoi ushirikiano. Sasa Lissu yupo na amewataja kwa majina wabaya wake lakini serikali kimya hakuna hata panya aliyekamatwa.
2. Kutekwa na jaribio la kumuua Sativa: Waziri mwenye mashavu makubwa kasema eti Sativa...
Salaam wana MMU
Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi.
Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza wa maisha.
Kwa kipindi kirefu toka nimalize masomo, nilijikuta nimenaswa kwenye kazi za kitumwa...
Ukipata muda ni vyema kuongeza maarifa Kwa kusoma vitabu mbalimbali, ni muhimu vitabu vinaficha mengi mno hicho nimeweka hapo ni KIZURI sna na kitakusaidia sana kimeandikwa na Joel Arthur huyu mwandishi anajua kuandika na napenda sana kusoma vitabu vyake. Hebu na wewe jifunze hapo;
Hii inamaanisha kuwa kuna mtu ana kitu yani akikifanyia kazi anaweza kufika mbali lakini amekaa nacho ndani anawaza.
Utawaza hadi lini na umekaa ni fursa ndani? Unamsubiri nani aje akutoe huko uliko akuonyeshe njia?
Unachelewa changamka! Unataka kuwa mfanyabiashara mkubwa leoleo?
Ni kitu...
Kabla ya huajajenga nyumba yenye paa la kujificha ( hidden roof) soma ushauri huu👇
👉Hiddenroof ni nyumba ambazo zilikuwepo toka miaka ya nyuma hivi karibuni Zimekuja kwa Kasi.
Na zimeacha kilio kwa watu wengi, hii ni kutokana na kulalamikiwa kwenye changamoto ya kuvuja.
👉 Nyumba hizi...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkandarasi Vikosi vya Ujenzi kuongeza kasi ya utekelezaji wa ujenzi wa jengo la Wizara linalojengwa katika Ofisi za Serikali Mtumba Jijini Dodoma ili kuendana na ratiba ya ukamilishaji.
Bashungwa ametoa agizo hilo Januari 29, 2024 wakati akikagua...
Unatakiwa utafute pesa hadi ifikie hatua pesa ulizotafuta zenyewe zinaanza kutafuta pesa nyenzake zaidi.
Unatakiwa ufanye kazi kwa bidii na kwa kujituma bila kujionea hurumq hadi ifikie hatua huitaji bidii kubwa kupata kipato.
Kwa hiyo bidii yako lazima iwe na malengo hata kama bado...
1: Matajiri ni matajiri sio kwa sababu wanafedha. Matajiri wanafedha kwa sababu ni matajiri.
Namaanisha nini? Wekeza kujenga uwezo wako pesa ni matokeo ya mindset za kitajiri. Na moja ya mindest ni kuamini kila pesa unayoipata hauipati ili uitumbue unaipata ili ilete pesa nyingine.
2: Boresha...
Leo nitagusia kuhusu Sproutsgigs.Hii ni website ambayo unaweza jiingizia hela yako kwa kufanya task (kazi) utakazo kuta umepewa kwenye dashboard yako.Lakini pia unaweza toa kazi kwa mtu akakufanyia kwa niaba yako kwa malipo mtakayo kubaliana.
Nimejiunga Sproutsgigs mwezi mmoja nyuma na...
Tangazo la Kusisimua!
🌟 wana jf leo kijana wenu nawaletea bulb cctv original sio fake za kkooo 🌟
Habari zenu! nafurahi kuwapa habari ya kushangaza na ninyi nyote leo. Je, umewahi kutamani kamera ya uchunguzi ipo kama taa za ya nyumba yako?
Kweli, basi swala la ulinzi dukani au nyumbani...
Nimekusikia ukiwa mubashara EFM Sports Headquarters muda mfupi tu uliyopita, ila umeboa kwa kuwa huna amshaamsha na unaongea kiofisi zaidi wakati hadhira yako ni 98% oya oya (masela) tupu tu.
Umeshawahi kujiuliza, utaongeza vipi pesa ambayo unaipata katika maisha yako? Watu wengi sana wanatamani kuongeza kipato chao ila mara nyingi wanatumia njia ambazo sio sahihi kujipatia au kujiongezea kipato. Leo ningependa ujifunze njia rahisi na sahihi ambazo unaweza kuzitumia kuanzia sasa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.