ongezeko la nauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Wananchi wa Tegeta "A" waandamana hadi ofisi za serikali za mitaa kupinga Ongezeko la nauli kutoka 500 hadi 1,000

    Wananchi wa Mtaa wa Tegeta "A" katika Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi na kuelekea ofisi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo wakipaza sauti zao kupinga ongezeko la nauli kutoka shilingi 500 hadi 1,000 kwa wanaotumia usafiri wa Daladala na Bajaji za kuchangia...
  2. Mkalukungone mwamba

    Je, umekutana na ongezeko la nauli kwenda mkoani?

    Wakati msimu wa safari za mwisho wa mwaka ukiwa umeanza, wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wamekutana na uzoefu tofauti wa safari hususan kwa upande wa nauli. Katika miaka ya karibuni, kumekuwa na tatizo la wenye mabasi na watumishi wao kupandisha nauli katika majira haya lakini kwa mwaka...
Back
Top Bottom