Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi.
Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014, toleo la 2023, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma, Rais...
Idadi ya watu kuongezeka inapelekea kukutana na kashikashi zitokanazo na Joto la Dar kwa sababu linapunguza NGUVU za KIUME kwa maana ya kukosesha hamu ya kufanya mapenzi na hivyo kupelekea tendo la ndoa kuwa lenye kukosa Radha na hivyo kutishia uwajibikaji wa kufanya Hilo tendo lenye malengo...
Imeelezwa kuwa kati ya mwaka 2023 hadi 2024, Watu Milioni 1.9 wameongezeka katika idadi ya Watu wanaokabiliwa na Hali Mbaya ya Upatikanaji wa Chakula duniani kutoka Watu 705,000 walioongezeka mwaka 2022/23.
Kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Kimataifa ya Migogoro ya Chakula (GRFC), ongezeko hilo...
tunafahamu kuwa ujamaa ni mfumo bora ambao ndani yake kuna baraka kubwa kutoka kwa mungu,kawaida mungu hutaka watu wake wajumuike ili kumuabudu na kumsifu kwa pamoja,kuishi,kumiliki na hata kufa na kuzikana kwa pamoja,lakini naweza kusema ujamaa ni mfumo wa mbinu/mchakato katika kujenga ubepari...
Hili ongezeko kubwa la mbio za marathons na watu wengi zaidi wakiongezeka kushiriki hizo marathon kumechochewa na nini? Kuna siri gani huko kwenye marathons
Kuna faida gani kubwa hasa katika hizo marathons hadi kuvutia watu kutoka sehemu za mbali kabisa kusafiri kwenda kushiriki kutoka mkoa...
Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani.
Nchi yenye watu wengi duniani ni china na Kwa afrika ni nigeria.hizo nchi mbili tunaweza tumia kama mifano ya kutuimarisha...
Utangulizi:
Kwa muda mrefu mafuriko yamekuwa yakiharibu miundombinu ya uchukuzi na usafirishaji nchini, pia kuleta maafa ya vifo kwa raia na mali zao, na kwa ujumla hurejesha nyuma kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Na mara nyingi viongozi wa serikali hutazama majanga ya mafuriko na...
UTANGULIZI
Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii adhimu, ya kuleta mapendekezo chanya kwa maendeleo ya Taifa letu. Ningependa kuanza kwa kuuliza, Je Tanzania tuitakayo ni ipi? Ni Marekani ya sasa yenye ushawishi wa kiuchumi Duniani? Au ni Dubai ya sasa yenye majengo marefu ya...
Chanzo: Adequate spacing between births may reduce stunting in children, Study
Utangulizi:
Afya ya watoto ni muhimu sana kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Hata hivyo, tatizo la watoto wafupi limekuwa changamoto kubwa nchini Tanzania. Watoto wafupi wanaweza kukumbwa na matatizo ya...
Habari za muda tena, heri ya siku ya mapinduzi.
Moja kwa moja kwenye mada, jana nikiwa katika harakati za kutafuta mkate wa siku muda wa saa 4 asubuhi nilianza kuhisi maumivu jicho la kulia kadri muda ukivyozidi kwenda hali ilizidi kuwa mbaya nikaona hata isiwe shida acha nijipumzishe na kazi...
Nawasalimu wadau
Bila kupoteza muda, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele na kuziweka ndani, hii hali nimeiona zaidi nikiwa mkoa wa dodoma.
Sasa sijui ndo mageuzi au basi tu ni kupungua kwa...
Hivi karibuni, Umoja wa Mataifa ulikadiria kuwa kufikia katikati ya mwaka huu, India itaipita China na kuwa nchi yenye watu wengi zaidi duniani. Juu ya hali hii ya kawaida ya mabadiliko ya idadi ya watu, kwenye ripoti za baadhi ya vyombo vya habari vya Magharibi, inaonekana kuwa ni shida kubwa...
Nani alaumiwe kwa vitendo vya laana vinavyoendelea kwenye hiki kizazi, je , serikali kwenye nchi zenye nguvu na ushawishi Duniani Wana msimamo gani juu ya haya?vipi kuhusu nchi yetu?
Nimesikia kuwa Kuna watuhumiwa kadhaa wanaojihusisha na ushoga, wamekamatwa sehemu mbalimbali nchini Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.