Najaribu kukata tiketi kwa njia ya mtandao lakini sifanikiwi, mfumo haufanyi kazi, nifanyeje?
Pia soma: TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu
Habari JF,
Nina safari ya kwenda dodoma Jumatatu, leo nikasema niweke ticket in advance kupitia mfumo wa Shabiby wa ukataji ticket, kiukweli kama mdau wa maswala ya technolojia, huu mfumo umekaa vizuri.
Tuwapongeze developers na kampuni nzima ya Shabiby kwa kufanikisha kutengeneza huu mfumo...