online dating

  1. Braza Kede

    Tips muhimu kwa online dating

    Haya ni baadhi ya mambo muhimu kuzingatia kwa wadau wa online dating au utafuta wa marafiki na wachumba mitandaoni. - Hakikisha unapata picha kamili ya huyo baby unayewasiliana nae huko mtandaoni, picha ile ya utosi hadi unyayo. Ukiona huyo baby wako wa online hataki umuone yukoje, hapo tayari...
  2. T

    Kesho naenda kukutana na mpenzi wangu tuliyekutana mtandaoni

    Kesho naenda kumpokea mke wangu anayetokea Huko Russia na tulikutana nae kipindi hiko huyu mchumba wangu maria kuponovic akiwa kwenye internship pale jalalani Mchumba amekuja hapa bongo kwa ajili yangu tu na huyu mchumba wangu ni mtoto wa kishua kabisa na Ameniambia baba yake ni mmoja wa...
  3. G

    Mauzauza ya online dating: Tuliowahi kudate mitandaoni tusimuliane hapa mambo yalivyokuwa kinyume na tunachodhania baada ya kukutana live

    Ilikuwa ni mwaka 2014 nipo facebook, nilipost picha yangu kwenye group la "tafuta marafiki na mchumba", kulikuwa na comment nyingi za mabinti, nikachagua mmoja ambae nimevutiwa nae kwa kuangalia profile picha. Mazungumzo yalianza rasmi kuanzisha urafiki na siku chache zijazo tukawa wachumba wa...
Back
Top Bottom