online shif meeting

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Kenya: Wananchi wavamia kikao cha mtandaoni cha SHIF kilichoandaliwa na Wizara ya Afya ili kupinga mpango huo mpya wa Afya

    Maafisa kutoka Wizara ya Afya wamelazimika kusitisha kikao ambacho kilikuwa kinakusudia kufundisha wafanyakazi walioteuliwa kuhusu Mfuko mpya wa Bima ya Afya ya Jamii (SHIF). Hii ni baada ya baadhi ya Wakenya kuvamia kikao hicho, na kuanza kuimba nyimbo za kupinga SHIF. Mmoja wa wasemaji...
Back
Top Bottom