MSIMU ulioisha ulikuwa wa pili kwa Fiston Mayele hapa nchini. Msimu wake wa kwanza katika pambano moja la Simba alikutana na kisiki kinachoitwa Joash Onyango. Ni ndani ya miezi 24 tu iliyopita. Mayelle hakukatiza.
Mwishowe Enock Inonga alijichukulia sifa kwa kumsindikiza Mayele wakati anatolewa...
Beki Kisiki wa Kimataifa wa Kenya, Joash Onyango amesaini kandarasi kuitumikia timu ya Singida Fountain Gate.
Katika picha iliyopakiwa katika Mitandao ya kijamii, mlinzi huyo aliyekuwa anaitumikia Simba Sports Club ameonekana na Mkurugenzi wa Singida katika sehemu maalum ya kusaini Kandarasi...
NAMNA maisha yanavyokwenda kasi. Ijumaa usiku wa manane dunia ilikuwa imemwangukia mlinzi wa kati wa kimataifa, Josh Onyango mara baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Simba na Raja pale Casablanca.
Asubuhi tuliamka picha zake katika mitandao ya jamii na alikuwa akishambuliwa kwa kejeli na...
Nawashangaa sana mashabiki wasiojitambua wala kujielewa na wasioitambua sayansi ya mpira wa miguu. Simba kapigwa 3 mzuka na Raja nongwa na jumba bovu wanaangushiwa Onyango, Mkude, Manula na Nyoni, ni mpuuzi tu anaweza kuongea utumbo kama huo!
Wachezaji wa Simba ndio hao hao wa siku zote na...
Chei Chei.....
Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5 billioni za usajili lakini upigaji umekuwa mwingi.Miongoni mwa upigaji wa pesa za Rais Mo ni kuwaongezea...
Baada ya Moses Phil kuchezewa kuumizwa kiwanjani, Ahmed Ally msemaji wa Simba amelalamika sana, sio vema wachezaji kuumizana na siungi mkono wachezaji kuumizana viwanjani, lakini Ahmed alipaswa kuwakemea Henock, Onyango, Kanoute na Mzamiru kwa kuchezea wengine vibaya.
Kuna muda nilishangaa sana alipokuwa anakimbilia mpira halafu akapitwa na mtu kutokea mbali sana.
Anyway, kinachomsaidia ni kucheza kwa akili maana isingekuwa hivyo mambo yangeharibika.
Ila sijui kwenye makundi ya CAFcl itakuwaje.
Hapa Onyango atajilaumu kwanini karudi maana alivyosikia anakuja aliomba kuondoka, namuonea huruma Babu wa watu.
Naona muda wa kupimana Umri umefika Sasa, Shida iko PALEPALE
Onyango alikubali kusalia ukoloni baada ya kusikia mwamba kapigwa pini, Ila sasa aliko huko hana raha.
Simba inazidi kuporomoka kwa kasi kubwa sana. Licha ya vipigo ilivyopokea majuzi lakini hilo sio kubwa sana.
Mlinzi Mkenya Joash Onyango ameandika barua Shirikisho la Soka la Tanzania(TFF) akiomba iuvunje mkataba wake na Simba kwa kile anachosema haoni kama anaweza kupata nafasi ya kucheza...
Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya
KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala.
Kwa waliosahau ni kwamba Januari, 1993 mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, iliyosafiri kichovu kwenda...
Onyango na Kanute watakosekana kutokana na kadi 3 za njano katika mchezo wa mkondo wa kwanza hapa Nyumbani dhidi ya Orlando pirate
Lakini sioni Pengo kwa kuwa mchezo huo utahitaji kushambulia zaidi basi itakuwa vizuri zaidi kwa Kuwa na Wawa ambaye atapush mashambulizi huku mkude akisogea juu...
Wajuzi wa mpira hebu tufafanulieni humu kuhusu ubaya na ukubwa wa makosa waliyofanya Mukoko na Onyango wakati wa mechi ya Simba na Yanga kule kigoma.
Bocco alimfanyia madhambi Mukoko, badala ya kumuachia refa aamue atoe adhabu gani akajichukulia sheria mkononi ya kumpiga kiwiko Bocco na mwamuzi...
Kila siku nasema yanga inaonewa sana kwa kweli, imagine mshambuliaji hatari aliyemzidi hata Mohamed Salah kwa magoals kwenye kwalifikesheni za afcon anaonekana kituko Bongo.
Kumbuka mtambo huo wa magoli toka burundi uliposhuka Bongo ulipewa file la wawa na onyango ila habari za uhakika zinasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.