Opah Clement aliyekuwa mshambuliaji na nahodha wa Simba Queens ameondoka kwenda kuanza maisha mapya katika timu ya Wanawake ya Besiktas ya Uturuki.
Hadi sasa kwenye Ligi ya Wanawake (Serengeti Lite Women's Premier League) mzunguko wa kwanza umemalizika Opah ndiye kinara wa ufungaji akiwa...