Hivi wakuu mkoa na wa wilaya za Dar es Salaam huwa wanakuwa na mpango kazi maalumu wa kufanyia kazi kwa mkoa na wilaya husika?
Yaani baada ya kutokea mauaji ya mtoto albino huko Muleba, Kagera Chalamila yeye anaibuka na oparesheni ya waganga wa kienyeji Dar! Sasa Chalamila atawashughulikia...