open university singida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uongozi wa Chuo Kikuu Huria wasema utaboresha mazingira ya Kampasi ya Singida

    Novemba 18, 2024, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Chuo Kikuu Huria ufanye Ukarabati wa Mazingira ya Chuo hicho, Kampasi ya Singida kwa maelezo kuwa hayaendani na hadhi ya 'Chuo Kikuu'. Alisema na kuonesha picha pamoja na video na kuwa kuna majani yameota ovyo Chuoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…