Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Dkt Saada Mkuya Salum amesema serikali itaendelea kuwachukulia hatua wafanyabiashara ambao sio waaminifu wanaoenda kinyume na sheria za kodi kwa kukwepa kodi stahiki ya serikali
Waziri Mkuya ameeleza hayo wakati alipoongoza operesheni...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza Operesheni kabambe ya kuzunguka Nchi nzima kuelimisha na kuamsha wananchi Nchi nzima.
Operesheni hiyo ambayo Jina lake linahifadhiwa kwa sasa imetangazwa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe alipokuwa anaongea na Waandishi wa...
Operesheni maalum" ya Putin haijaenda kulingana na mpango. Kile kilichopaswa kuchukua siku au wiki kadhaa tayari imechukua miezi kadhaa.
Kremlin inaonekana kabisa haikuchukulia upinzani wa Ukraine kwa uzito mkubwa.
Magharibi kuunga mkono Kyiv na wimbi la vikwazo vya kimataifa ambavyo Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.