Operesheni maalum" ya Putin haijaenda kulingana na mpango. Kile kilichopaswa kuchukua siku au wiki kadhaa tayari imechukua miezi kadhaa.
Kremlin inaonekana kabisa haikuchukulia upinzani wa Ukraine kwa uzito mkubwa.
Magharibi kuunga mkono Kyiv na wimbi la vikwazo vya kimataifa ambavyo Urusi...