Wakuu salamu!
Kama heading ilivyo, naomba msaada kwa anayejua. Rafiki yangu aliweka pattern kama lock ya simu (aina ya Oppo F1s) siku chache zilizopita, sasa akaniletea ili niweze kumsaidia kumtolea hio pattern.
Nilijaribu kutumia njia ninazotumiaga kwa baadhi ya simu aina zingine kama vile ku...