TAARIFA YA AWALI.
Taarifa zilizotufikia ni kuwa Hakimu amefuta kesi ya mchoraji Oppter Fwema leo baada ya kurindima kwa muda mrefu bila polisi kuleta ushahidi mahakamani lakini alipokuwa anatoka mahakamani polisi wamemkamata tena na inasadikika wameempeleka kituo cha polisi Oysterbay...
Cartoonist Oppter John Fwema anashikiliwa na polisi kituo cha Oysterbay. Nimeongea na mdogo wake na amenambia kuwa Oppter alikamatwa nyumbani kwake Bunju siku ya Ijumaa tarehe 3 September 2021kwa makosa ya mtandao. Taarifa zaidi zinaendelea kupatikana Polisi na kwa familia na tutajuzana zaidi...