Kampuni ya Pili kwa ukubwa ya Mawasiliano nchini humo, #Optus, imeripoti shambulio la mtandao ambalo limefichua Taarifa Binafsi za Wateja kama Majina,Terehe za Kuzaliwa, Nambari za Simu na Anuani za Barua Pepe
Kampuni hiyo yenye Wateja zaidi ya Milioni 10 inasema imefanikiwa kuzima shambulio...