original battery

  1. Mad Max

    Kuna Tesla Model 3 imefikisha kilometa 500,000 na bado iko na original battery inayosoma Battery Health 85%

    Kuna mwamba ameshare Model 3 yake likiwa na odometer ya miles 316,270 ambazo ni sawa na kilometa zaidi ya laki 5. Gari bado ipo kwenye original battery, na imepungua battery kwa asilimia 15 tu tokea iwe mpya. Kwa izo kilometa, kama angekua na gari la engine, linalomtaka afanye oil change...
  2. Mad Max

    Tesla Model S ikiwa na Odometer inasoma 692,000 Kilometa imepungua original range ya 65 Kilometa tu!

    Ata sio issue kubwa. Ila kuna Model S yenye miaka 8 tokea itengenezwe, odo inasoma kilometa 690k, original battery, imejaribishwa na kuonekana imepoteza range ya kilometa 65 tu kutoka original range ikiwa mpya. Chuma bado iko poa, kasoro tu uchakavu wa kawaida interiors na nje. Tunajaribu...
Back
Top Bottom