Habarini wakuu...
Wanasema ndoto ni maono ya uzoefu wa maisha ya kila siku, sikuwepo enzi za hawa Wanasiasa ila historia imenijuza machache. Sasa leo nimeota ndoto fupi ila ilionionyesha uhalisia wa uhasama aliokua nao Mwalim JK Nyerere dhidi ya Oscar Kambona.
Ndoto inaanza Oscar Kambona...
Oscar Kambona.
Kuna wakati ukitaka kumwangamiza mtu basi muhusishe na Kambona.
Hii ilikuwa baada ya Kambona kukimbilia Uingereza kufafuta hifadhi.
Namweleza Oscar Kambona:
MASAHIHISHO
Katika video nasema Mwalimu Nyerere aliondoka Dar es Salaam kwenda Butiama baada ya kuundwa kwa TANU.
Ulimi...
Huyu ndio Hussein bashe ,akilitaka lake lazima liwe! Na asipolitaka lako halitakuwa ,huyu ndio bashe! Anapenda kutunisha misuli hata mahali pasipohitaji misuli ,kiongozi asiyetaka kuhojiwa na yeyote isipokuwa rais na makamu wa rais .
kwa maana hiyo hata waliompigia kura hawana ubavu wa kumhoji...
Ule upuuzi wa mchonga ulio wafanya mkimbie nchi yenu mliozaliwa na kukimbilia mataifa ya nje bado upo hauja koma.
Upuuzi alio asisi mchonga meno kwa wale walio mpinga na kupinga ideas zake kwa kupachikiwa kesi za kijinga kijinga za uhaini bado unaendelezwa.
Hii nchi ni ya wote sio mtawala...
Hamasa ninayoishuhudia leo inanikumbusha siku tuliyompokea Mwanamageuzi Oscar Kambona kutoka Uhamishoni Uingereza.
Kiukweli Bila kujali itikadi ya vyama wananchi kwa maelfu walifurika kumlaki.
Hata leo naona Watu wameweka itikadi pembeni labda tu Sukuma gang ndio bado wanajishauri.
Karibu...
PICHA YA ABDALLAH KASSIM HANGA AKIBARIZI MSASANI BEACH KWENYE NYUMBA YA OSCAR KAMBONA
Hakuna kitabu kilichoeleza historia ya Hanga na Oscar Kambona kwa siku chache Hanga lipokuwa anakaa nyumbani kwa Kambona London kama kitabu cha Dr. Harith Ghassany, ‘’Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.’’
Hanga...
HISTORIA FUPI YA OSCAR KAMBONA
Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka 1925 katika kijiji cha Kwambe kilichopo mwambao mwa ziwa Nyasa, karibu na Mbamba-bay, wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma. Alikuwa mtoto wa marehemu Rev. David Kambona na Bibi Miriam Kambona.
Rev. Kambona alikuwa ni miongoni...
Wazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza.
Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba...
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu wengine ambao bila wao mwalimu "asingetoboa" na pengine tusingemjua kabisa mwalimu Nyerere, au story yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.