Wakuu,
"CCM imetufika pabaya leo watumishi wa umma wanashindana kujikweza ndio maana badala ya kuzalisha taifa la watalaam leo tuna taifa la 'chawa' na sasa hivi wamepita uchawa wamekuwa mende maana angalau chama akikaa kichwani ukinyoa nywele hadithi imekwisha, mende wanaingia kwenye vyoo...