Habari zenu wakuu,
Huyu mkenya Otile brown nadhani Yuko underrated Sana, Maana nyimbo zake Kali lakini hajulikani kiivyo. Kuna nyimbo aliitoa na Sanaipendi Tande inaitwa chaguo la Moyo kusema ukweli waliua.
Yani nyimbo tamu hata Ukiwa single unatamani kufall in Love, Verse na sauti zao ndo...
Msanii Otile Brown amewakshifu wasanii wa lebo ya Wasafi Zuchu na Mbosso kwa kutumia mistari ya kibao chake kwenye wimbo wao mpya. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Otile amewauliza wasanii hao wawili waache mazoea, ila hana roho mbaya.
"Punguzeni mazoea basi … Hio ni melody nzima ya...
Kwa kweli huyu jamaa kwa EA nimegundua ni underrated sanaaa.
Hii ni baada ya kusikia ngoma yake ambayo imeingia kwenye chati zilizotoka juzi za sound city.
Imeingia kama wimbo bora kwa muongo mmoja kwa EA sambamba na Diamond alieingiza nyimbo 2
Hii ngoma ni kama zouk moja hivi matata sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.