Mwaka jana madai ya uchaga yaliibuliwa na gazeti la JAMVI LA HABARI likisema maaskofu wa kanisa katoliki huteuliwa kwa kufuata uchaga. Madai hayo haya hapa (bonyeza hapa)
Mtakumbuka madai haya yaliingia hadi bungeni gazeti hili kujadiliwa.
Jumatano iliyopita ina makala moja ya RAIA MWEMA...
Wiki hii imesambaa picha ya Papa Francis akikwepa kubusiwa pete yake, utaratibu unaofanywa kwa askofu yeyote, achilia mbali Papa.
Kitendo hicho kimejadiliwa na kila aina ya mitandao, kwenye magroup, facebook, twitter na kokote unakoweza kutaja.
Sasa mimi maoni yangu ni nini? Maoni yangu ni...
Leo Vatican imetangaza rasmi kwamba Papa Francis atembelea nchi tatu za Afrika Mashariki.
Ziara hiyo itafanyika Septemba mwaka huu na nchi atakazotembelea ni Mozambique, Madagascar na Mauritius.
Hii ni mara ya pili Papa Francis kutembelea eneo la Afrika Mashariki. Majuzi tu alitembelea Uganda...
SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam
Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam.
Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi.
Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana...
Ghafla kumekuwa na wema kila kona. Siyo mahakamani, siyo majukwaani, Siyo makanisani kwa ujumla hizi wiki tatu ninaziita kisiwa cha amani.
Sasa ni wema na kauli za wema na hotuba za ukarimu. Lakini kwa nini wema huu uje ghafla hizi wiki tatu.
Hongereni JF mmejiuliza wengi kwa namna mbalimbali...
Wataaalamu wa Kufikiri,tujadiliane hivi:
Si lazima Mungu awatokeeni Spika Ndugai na Mbunge Msukuma katika maisha yao physically kama ilivyotokea kwa mama Bikra Maria au Zakaria (mzazi wa Yohana Mbatizaji), ili kuwapasha wote hao wawili ujumbe mahususi.
Nasema si lazima Mungu afanye hivyo kwa...
Wataalamu wa mawazo na wanazuoni:
Inaelekea watu wengine sifa za msingi na Kuu za Mungu hawazijui. Inaelekea kana kwamba baadhi ya dini hazijachukua wala kutenga muda wa kutosha kusoma Falsafa kabla ya kuamua kusoma Teolojia. Ingalikuwa wahusika waliwekeza muda wa kutosha kusoma Falsafa ili...
Wanahistoria, wanaharakati,wanateolojia na wanasiasa:
Ni ukweli usiopingika kwamba historia ya Mambo mengi yaliofanywa na watu waliotutangulia ama imetusaidia katika kujirekebisha kutofanya makosa kama watangulizi wetu au imetusaidia katika kufanya mambo vizuri zaidi kuliko walivyowahi...
Wanazuoni:
Kichwa cha habari hapo juu sio kwamba ni cha uchochezi au kwamba kimelenga kupasukia watu kwa kashifa au kwamba ni kufuru kwa Mungu.La hasha, bali ni tafsiri ya kile alichomaanisha Mwanajeshi mmoja huko Marekani pale alipoibuka na Formula ya kukokotoa tarehe ya kurudi kwake Yesu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.