oven

An oven is a thermally insulated chamber used for the heating, baking, or drying of a substance, and most commonly used for cooking. Kilns and furnaces are special-purpose ovens used in pottery and metalworking, respectively.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Nahitaji Oven ya Kuokea mikate ya Meza ya Bwana.

    Habari wanaJF, Nimekuja kwenu na ombi. Kama kuna mfanyabiashara wa OVEN hapa naomba tuonane. Cha msingi, nahitaji kukitumia kanisani. Iweze kutumia gesi na umeme. Plate 2 au 3. Naomba uniandikie. Whatsapp ni 0748707707
  2. Jiko la kuni tangu lilitumika miaka zaidi ya 100 iliyopita

    Hili jiko limeboreshwa, wengi walioishi kwenye nyumba za serikali alizoacha mkoloni walikutana na majiko ya aina hii. Yale ya enzi zile haya kuş na sehemu ya umeme. Enzi zile waliotumia majiko haya, walitumia matawi ya miti kama nüshayı. Enzi zile nchi ilikua bado na miti mingi sana...
  3. Royal Oven hongereni kwa huduma nzuri ila mapungufu yapo.

    Customer service au huduma kwa mteja ni sehemu nyeti sana ya biashara yoyote duniani, ni kioo cha mwanzo cha biashara iwe inafanya kuuza bidhaa au kutoa huduma. Kuna baadhi ya makampuni ili wakupatie ajira basi lazma uwe na vigezo kama uso usio na chunusi, uso nyororo na mwenye umbo namba nane...
  4. NAUZA OVEN LT 40

    Nauza Oveni lita 40 Kampuni mr uk Bei lak 1.2 tu maongez yapo tabata shuleee 0697224996
  5. Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam

    Kama kichwa kinavyo jieleza. Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam. Kama unayo dukani kwako taja bei yako na location ya duka lako bila kusahau mawasiliano yako.
  6. Microwave oven vs Airfryer ipi Bora kwa kuchoma nyama, kukaanga chips na kupasha chakula

    Wakuu, Ni kifaa kipi kati ya hivyo kinafaa kwa kuchoma nyama, kuchoma kuku mzima, kukaanga chips na kupasha chakula? Nahitaji kifaa kimoja cha kufanya kazi hizo zote kwa ubora mzuri, nichukue kipi?
  7. Oven ya ukubwa gani itafaa kwa matumizi ya familia ya watu 6?

    Wakuu salamu kwenu, Heri ya mwaka mpya 2024. Sasa wakuu, nahitaji kununua oven kwa ajiili ya matumizi ya familia ya watu 6-8. Ni oven kampuni gani nzuri itanifaa na za ujazo wa litre ngapi?
  8. Nahitaji used gas oven

    Habari. Kwa yeyote anaeuza au anajua wapi naweza pata oven inayotumia gesi yenye uwezo wa kubeba mikate 90 ile tunayosema gram 500. Note: iwe used. Iwe Dar Pwani au Morogoro Call/Whatsapp 0652494919
  9. INAUZWA Commercial ovens for sale

    Deck 1-1,200,000Tsh(umeme) 1,550,000Tsh(gas) Deck 2-260,000Tsh(umeme) 3,000,000Tsh(gas) Deck(Kama hiyo kwenye picha) 3-3,500,000Tsh(umeme) 3,900,000Tsh(gas) Tupo kAriakoo mtaa wa ndanda,mikoani tunatuma Call /WhatsApp 0673206639
  10. M

    These 5 diseases are caused by Microwave oven, we must be in aware of it

    source:These Diseases Are All Caused By Microwave Ovens, And You’ve Probably Ignored Them! We in general in all love microwaving. It's a remarkable, clear and beneficial cooking elective for all people. The microwave has been conspicuous in the US for north of 30 years, generally changing...
  11. HILI OVEN UNALIHITAJI JIKONI KWAKO.

    Maoven yanaouzika sana Dsm sasa yamepungua bei Bei-155,000Tsh tu *Linatumia umeme kiduchu *Linaoka mikate,cake na choma kuku na vinginevyo *Pia unaweza ukapasha chakula chako *Lina ujazo wa 48L pia ni rahisi kulitumia Call/Whatsapp 0753038470 Tupo kkoo mtaa wa ndanda Nunua leo
  12. Royal Oven Mlalakuwa wanauza chakula lala

    Hii imenitokea leo, na adha niliyoipata Mungu tu anajua. Ni maumivu ya tumbo la kuhara lililodumu kwa muda mrefu, na nashukuru kupata huduma ya choo mahali naikawa mkombozi ili nisiadhirike. Nikiwa na njaa mchana wa leo na nikaamua kupata bites pale Royal Oven Mlalakuwa. Nikanunua...
  13. INAUZWA Nauza Oven, karibuni sana

    Unakosaje Huduma bora na uhakika wahi sasa Von Hotpoint Cooker - Stainless Steel Price Tshs 650,000/= #Product Features . 3 Gas Burner and 1 Electric Cooker [emoji830]Electric oven and grill [emoji830]Push Button Ignition [emoji830]Mechanical Timer [emoji830]Thermostat [emoji830]Oven Lamp...
  14. M

    INAUZWA Tunauza bidhaa mbalimbali, Tunapatikana Kariakoo Ndanda st

    Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa Ni imara na haikati misumeno Ina watts 550 Ina sehemu ya kusagia nyama Ina warranty mwaka mmoja Bei 1,350,000 tu Tunapatikana kariakoo ndanda st Tunadeliver free kwa dar pia. Call/text/WhatsApp 0656666662.
  15. Cake bila oven

    Ni ya vanilla na maziwa nimeipika kwa gesi tu. Nimetumia Unga:250g Sukari (icing suga):200g Mayai:5 Maziwa:vijiko vitatu vya chai Vanilla:kifuniko kimoja Butter:250g Baking powder:2teaspoon Ukianza kumix kama huna mashine ya kumixia tumia ya mkono ila koroga kweli kweli na haraka haraka...
  16. INAUZWA New electric oven kwa 195,000 tu

    Call/whatsapp 0788622610 Offer offer bei 195,000 tu Oven mpya ya umeme ya kisasa Ina plates 2 juu za kupikia chochote Ina ujazo lita 48 Ina grill pamoja na kuchoma mikate, cake, nyama, kuku etc Ina timer Ina warranty mwaka mmoja Location: DSM
  17. Dodoma: Oven ya mikate/ keki inauzwa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…