Mhalifu au mwovu huweza kuwa mtu binafsi, serikali/dola, taasisi, kikundi rasmi au kisicho rasmi. Uovu mbaya kabisa ni ule wa dola maana huo unafanywa dhidi ya wananchi ambao kihalisia walistahili kuheshimiwa na kutendewa haki.
Wanaosababisha dola iwe ovu ni watawala waovu. Na bahati mbaya...